House for rent at Bunju, Dar Es Salaam
18/3/2024
Nyumba inapangishwa stand alone inajitegemea
Location bunju a shule
Ipo pekeyake ndani ya fence
Bei 500000 Kwa mwezi
Miezi 6
Vyumba 3 kimoja Master bedroom sitting room kitchen cabinets dining room public toilet
Contact 0783436763