House for rent at Buswelu, Mwanza


APARTMENT INAPANGISHWA BUSWELU
-Vyumba viwili vya kulala vyote ni Self Contained kimojawapo kina full AC, Sebule Yenye AC, Jiko lenye Makabati & Public Toilet ya njee
-Umeme Na Maji 1 Inajitegemea
-Cars Parking space ipo
FAMILIA MBILI NDANI YA FENSI
KODI TSHS LAKI 333,333 KWA MWEZI
MALIPO KUANZIA MIEZI 6
📲📲📲 0743220097