House for rent at Chanika, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa ipo chanika kwa ndevu bei laki 2 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 4 nakuendelea. Nyumba zpo 2 kwenye fensi moja, lakn kila kitu unajitegemea kuanzia umeme unajitegemea luku yk pamoja na maji pia mita yk, ina vyumba 3 vyakulala, sitting room, dinning room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo, tiliz, madilisha vioo, na fensi ya parking ipo ndio sharing watu 2. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 0719250426.