House for rent at Goba, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA APARTMENT
MAHALI-GOBA NJIA NNE
ULIPI ULINZI NA USAFI VYOTE VIMEJUMUISHWA KWENYE KODI UNALIPA MAJI MITA YAKO NA LUKU YAKO
KODI TSHS LAKI 800,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 7
APART YA KISASA
KUBWA YA KIFAMILIA
YENYE
Vyumba viwili vya kulala, Master Yenye Aç Sebule Dinning Jiko, Stoo Choo/Bafu vya ndani public Heater
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme upo wa Luku yake
Maji yapo ya bomba 24hrs
Cars Parking Space ipo
ervingblocks
FencedApart
Garden 0719082300
0762652066
0692904876
MAWASIANO