House for rent at Goba, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa vyumba vitatu Vya kulala Kimoja master bedroom public toilet ๐ป Bila kusahau jiko kumbwa sana zuri
Huduma maji dawasco umeme Mita yako unajitegemea
Nyumba zipo goba kinzudi usukumani
Bei laki sita kwa miezi kodi miezi6 tu
Nipigie simu 717 173 180