House for rent at Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUJITEGEMEA INAPANGISHWA;
#STAND_ALONE_HOUSE
Kodi :: Tzs 1,500,000 kwa Mwezi
Malipo :: Miezi 6
Location :: GOBA CENTER 
.
📍Vyumba Vinne (Kimoja ni Masta) 
📍Sebule Kubwa & Dinning
📍 Ac Sebuleni & Chumbani 
📍Jiko Lenye Makabati
📍Public Toilet 
📍Store 
📍Car Parking 
📍Parking Space 
📍 Electric Fence 
0783558470



















