House for rent at Goba, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa:
(Zipo tatu Tu Kwenye fensi)
Location :: Goba Mageti
Bei yake :: 800,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (vyote Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans & Air Conditions
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Cctv Cameras
🌡️Remote Gate
🌡️Electric Fence
MAJI USAFI ULINZI UMEJUMULISHWA KWENYE KODI
Call/Whatsapp;
0693223575