House for rent at Goba, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa vyumba viwili Vya kulala Kimoja master bedroom toilet 🚻
Nyumba ipo goba sentar
Bei laki6 tsh 600000 nanusu kwa mwezi kodi miezi6 tu
Huduma za nyumba
Maji ya dawasco umeme Mita yako
Geti Remote control
Full AC
Nipigie simu 0693223575