House for rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI MPYA APARTMENT ZA KISASA ZINAPANGISHWA 450,000/=
💥 APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
‼️ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO IMEBAKIA
#GARDEN NZURI
# PAVING BLOCK
💥MAFUNDI WANAENDELEA NA UBORESHAJI WA RANGI NJE TUU
BEI NI 450,000/= X 6
ILIPWE LAKI 4 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HIZI MPYA ZIPO NJIA YA KUELEKEA GOBA (BARABARA YA GOBA ) KITUO KWA ROBART NA KUTOKA GOBA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BODABODA UPO WA KUTOSHA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
------------------------------
CONTACT FOR
NO=0766825473
WSP=0788410350