House for rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZA KISHUA KABISAA ZINAPANGISHWA GOBA NJIA YA MADALE
WAHI CHAP ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI
ZINAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01/05/2024
SOMA MAELEZO KWA MAKINI
(1.) Chumba sebule choo na jiko zuri linawekwa Makabati na anaweka Heater ya maji moto
300,000 × 6
(2.) Vyumba viwili kimoja master sebule jiko linawekwa Makabati na public toilet na anaweka Heater ya maji moto
500,000 × 6
GOBA NJIA YA MADALE
DAKIKA 5 KWA MIGUU KUTOKA MADALE ROAD
Service charge 15,000/=
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300