House for rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA  INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA  KINZUDI
💧Bei :: 600,000Tsh kwa Mwezi (#MIEZI_6) 
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Vitatu ( Kimoja ni Masta)
📍Sebule kubwa 
📍Choo cha Public 
📍Jiko lenye makabati 
NB : USAFI NA ULINZI BURE 
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0783558470
Call /Whatsapp




















