House for rent at Goba, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa:
(Zipo kwenye fensi)
Location :: Goba njia nne karibu sana na barabara
Bei yake :: 450,000Tsh kwa mwezi (Miezi 3)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili kimoja master
🌡️Sebule
🌡️Jiko nzuri
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Fence
🌡️Feni
🌡️ Gate
Call/Whatsapp;
0679788830
0712314638