House for rent at Goba, Dar Es Salaam


Master bedroom, Sebule na Jiko 450k🏠
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Goba Lastanza📍
• Chumba Kimoja Master bedroom
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Fence Na Parking Ni Ya Uhakika
• Ipo Karbu Na Barabara
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 450k✅
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi mitatu (3)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0621875388