House for rent at Goba, Dar Es Salaam


Master bedroom, Sebule na Jiko 250kđźŹ
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Goba Njia nne📍
• Chumba Kimoja Ni Master
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Fence Na Parking
• Nyumba ipo umbali wa km 1 /boda buku
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 250k✅
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Minne (4)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba
ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0744701813 Normal/Whatsapp📲



















