House for Rent at Goba, Dar Es Salaam


Eneo linauzwa pamoja na nyumba.
Mahali: Daressalaam. Goba Mwanzoni kutoka Mbezi Beach Masana. KINZUDI MAGOROFANI. Mita 400 kutoka lami.
■ Ukubwa wa kiwanja: SQM 900
■ Nyaraka: Hati miliki safi
■ Maelezo
□ Eneo limepimwa
□ Eneo linafikika vizuri sana kwa mguu na kwa gari
□ Eneo lina nyumba mbili za kupanga ndani yake
□ Eneo linafaa kwa uwekezaji wa kibiashara na hata makazi.
□ Mtaa umejengeka vizuri, barabara za gari ni nzuri
■ Bei: TZS 170 Million (FIXED PRICE)
■ Kuona kiwanja 30,000/=
■ PANGA MUDA WAKO, KUJA KUONA
■ Mawasiliano 0625584914