House for rent at Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA CENTER
💧Bei :: 650,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Vitatu ( Kimoja ni Masta)
📍Sebule kubwa
📍Makabati Chumbani
📍Choo cha Public
📍Jiko lenye makabati
📍Full AC
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0783558470
Call /Whatsapp