House for rent at Goba, Dar Es Salaam


House Of Two Bedrooms (All Are Self), Sebule na Jiko 650kš
Specifications:-
⢠Nyumba ipo Maeneo ya Goba ( Makongo Road)
⢠Vyumba Viwili Vyote Master
⢠Jiko Lake Zuri Kabisa
⢠Fence Na Parking
⢠Full Air Conditioner
⢠Kabati Za Nguo Chumbaniā
⢠Nyumba ipo Umbali wa Meter 800 kutoka lami (dk 15 kutembea)
Payment Conditions:-
⢠Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 650k/700kā
⢠Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6) kwa 650k, Miezi Minne kwa 700k
Service Fee:-
⢠Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
⢠Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
⢠0744701813 Normal/Whatsappš²