House for rent at Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE GOBA CENTRE MITA CHACHE KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 3 vya kulala 2 master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Msji yana flow
Cctv camera
Electronic fence
Full air condition
Tiles
Gypsum
Garden safi
Mazingila mazuri sana
Slide window
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 20,000/=
Kodi 800,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 8
-----------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693__673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach🇹🇿🍾