House for rent at Goba, Dar Es Salaam
Vyumba viwili sebule choo na jiko
Kodi 420k kwa mwezi
Hulipii maji na unajitegemea umeme
Iko karibu na barabara hapa Goba
Kwenda kuona nyumba 15k
Ukilipia ya udalali bei sawa na mwezi mmoja 420k
Kwa maelekezo zaidi 0672616197