House for rent at Goba, Dar Es Salaam


Hii nyumba inapangishwa mahala ilipo ni Goba Center, 1KM kutoka barabara ya lami.
Nyumba hii nyumba inavyumba vitatu vya kulala kimoja wapo ni master bedroom and sitting room and dining and kitchen and public toilet
Hizi ni apartment zipo nyumba tatue tu kwenye fence kila mtu anajitegemea luku maji yapo masaa 24 parking ipo ya kutosha
Bei yake ni TSH 500000 kwa mwezi malipo yake ni kuanzia miezi sita na kuendelea kwa Mawasiliano zaidi piga number zifuatazo ambazo ni 0755411160/ 0717455694 /0688647484 ndugu mteja epuka matapeli