House for rent at Ipagala, Dodoma


NYUMBA NZURI SANAAA INAPANGISHWA π±
-PEKEAKE KWENY FENCE
πMAHALI- IPAGALA
πͺ MUUNDO
~~Vyumba V4 vya kulalaa (01 MASTER)
~~sebule kubwa
βDining
~~Store
~~jiko zuri
~~Public toilet ya nje
______________________________
HUDUMA
~~Maji yapo muda wote
~~Umeme upo unajitegemea
~~Parking space kubwa
~~iko ndani ya fence
~~usalama wa kutosha
______________________________
π°MALIPO
~Bei ni 400,000 @ mwezi
~Muda wa malipo miez 6+
______________________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJAπ
βοΈ MAWASILIANO
+255627262930 call/ wtsp
πββοΈGharama za kwenda site ni 10,000#