House for rent at Kariakoo, Dar Es Salaam


GHOROFA LA KONA MTAA WA SPARE KARIAKOO NA SUKUMA JENGO LA KONA LINA FREM 8 KILA FREM 1.5MIL KODI KWA MWEZI LINA FLOO 5.5 AMBAZO ZOTE NI STORE KILA FLOO INA STORE 2 BEI YA KILA STORE NI 1.2 STORE/GODAWN ZIPO 6 BEI YA JENGO LOTE NI 6BIL