House for rent at Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KWA MKUWA KLM 2 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI TAX DALADALA NAULI 500 UKISHUKA TU DK 3 UPO GETINI NJIA NI ZEGE MPAKA KWENYE NYUMBA
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI
NOTE/KUJA KUONA NYUMBA NI SHINGI ELFU 15 MPAKA UPATE NYUMBA
DALALI KISMATI UBUNGO ON THURSDAY MOOD 😄🥲😶🤔😶🙏
0693850032