House for rent at Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO 4 KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 29/02/2023
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI LINAKABATI
#PUBLICK TOILET
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
LOCATION KIMARA BARUTI DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
DALALI KISMATI UBUNGO ON VIBE 🆓😠🧐😮💨🤫
0693850032