House for rent at Kati, Arusha


HAYA IYO HAPO TENA 👆
----------------------------------------------
APARTMENT CLASSIC YA KIFAMILIA INAPANGISHWA IPO KATI YA #KIMARA_KOROGWE NA #KIMARA_MWISHO
#UMBALI WA DK 10 KUTOKA MOROGORO ROAD.
••••••••••••••
MPANGAJI ANAHAMA KESHO TAREHE 15 /2 /2024 RUKSA KUONA NA KULIPIA.
SIFA ZAKE =
VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
DINING TABLE
STORE
JIKO LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
FULL PAVING BLOCK
AIR CONDITIONING
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
•••••••••••••
KODI NI LAKI 600,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
••••••••••
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT MBILI NA MOJA KUBWA YA KIFAMILIA NDIO INAPANGISHWA INAJITEGEMEA UMEME PAMOJA NA MAJI DAWASA YAPO 24 HOURS.
----------------
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0769680796 whtsp
#0712348316WhatsAp