House for Rent at Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZIPO TATU TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 25/10/2024 KUONA MALIPO RUKSA
#MASTER BED ROOM NA JIKO LAKE
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI NA JIKO LAKE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI ILA SIO YA KULAZA GARI
#LUKU 2 KUNA SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI