House for rent at Kati, Arusha


NYUMBA INAPANGISHWA
MAHARI KISASA
MOJA KATI YA NYUMBA KARI AMBAZO
ZINA KIRA KITU NI HII APA
NYUMBA INA VYUMBA V5 VYOTE MASTER SEBURE JIKO ZENYE FULL MAKABATI, FULL IC, ELECTRICAL FANS, NK
MAHARI
KISASA JIRANI KABISA NA BARABARA KUBWA
BEI
2.5m kwa mwezi mda wa malipo ni mwaka
Ela ya dalali mwezi mmoja kwa mteja