House for rent at Kati, Arusha


600,000
○○○○○○○
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA IPO KATI YA KIMARA KOROGWE NA KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 10 MWENDO WA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD.
-------------------------
MPANGAJI ANAHAMA LEO PICHA ZA NDANI KESHO ##ILA RUKSA KUONA NA KULIPIA.
SIFA ZA NYUMBA.
VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJA MASTER
MAKABATI VYUMBANI
SEBULE KUBWA
DINING TABLE
STORE
JIKO LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET ( BAFU NA CHOO ) NDANI
TAILS
GYPSUM
SLIDE WINDOW
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
REZEV SIMTANK
FULL PAVING BLOCK
PARKING SPACE KUBWA
••••••••••••••••••
KODI NI LAKI 600,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
-----------
SINA CHENI BIASHARA NAMALIZA MWENYEWE NAONGEA NA TAJILI.
RUKSA KUONA NA KULIPIA MPANGAJI ANAHAMA LEO USIKU NYUMBA ITAKUWA WAZI KUANZIA KESHO.
0679956863
0696708032