House for Rent at Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZIPO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA HIZO MOJA IPO WAZI
KODI TSH 200,000X6
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO ZURI MAKABATI
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA MWISHO KM 2
USAFIRI WA KUMWAGA WA KUCHANGIA BAJAJI AU TAX (700) UKISHUKA TU DK 3 UPO GETINI
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
KUONYESHWA NYUMBA 15 ELFU
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258