House for rent at Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA YA CHINI IKO WAZI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLICK TOILET
________________________________________
TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA ALUMINUM SLAIDING WINDOW
LUKU INAJITEGEMEA
MAJI NI DAWASA YANAFLOW NDANI
NYUMBA ZIPO KWENYE FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE NJIA YA ZEGE KLM 1.5 BAJAJI 500 UKISHUKA TU DK2 UPO NYUMBANI
#BEI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
CONTACT 0715949085
CONTACT 0782838336