House for rent at Kibamba, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
.
.
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
INAKUA WAZI TAR 18/03/2024
.
.
SIFA ZAKE
########
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA SEBULE CHOO NA JIKO
.
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI PARKING IPO KUBWA
.
.
LOCATION: KIBAMBA SHULE
.
.
UMBALI KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJI 700 PKPK 1000 BRBR LAMI MPKA NYUMBAN
.
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
.
CONTACT
0742260844
0657384670