House for rent at Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT MZULI ZA KISASA INAPANGISHWA KIBAMBA HOSPITAL
MPYA MPYA MPYA !!!!!
SIFA ZAKE
CHUMBA
SEBULE KUBWA
CHOO CHAKO CHA NJE MWENYEW
KIBALA CHAKO CHAKUPIKIA
UMEME MATUMIZI YAKO MWENYEW
NA MAJI DAWASCO YAPO NA YANAFLOW CHOONI
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE WAPANGAJI WANNE 4
========
BEI NI 150,000/=X2
ILIPWE LAKI NA NUSU KWANZIA MIEZI 2
KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROUD NI DKK 10 KUTEMBEA
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
============
CALL 0683234124
0718367179