House for rent at Kibamba, Dar Es Salaam
(300,000X6)KIBAMBA SHULE
APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #300K
===
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko kubwa lenye makabati na public toilet
===
Kodi 300,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali dakika 5 Kwa mguu toka kituoni
===
Ndani ya fence parking IPO na kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
CONTACT US:-
0716223412
0683597453