House for rent at Kibamba, Dar Es Salaam


Hapa kuna Apartment ya 200,000 na 250,000 zote ni chumba master sebule na karo la kuoshea vyombo
Zipo KIBAMBA KWA MANGI
Dakika 8 kwa miguu kutoka Morogoro Road
Yenye A/C ni 250,000 × 3
Na isiyo na A/C ni 200,000 × 3
Maji yanaflow ndani
Luku unajitegemea
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300