House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







#STAND ALONE / INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE ENEO LAKE MPYA KABISA INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #150𝖪
Chumba cha kulala sebule Choo na jiko kubwa la kisasa lenye makabati
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 6
maji yanaflow chooni na jikoni umeme inajitegemea . Hakuna fence lkn mazingira salama sana
Umbali KM 1.5 Usafiri bajaji zipo bodaboda 1000. Lami mpaka nyumbani
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
#0710614924
#0688653940