House for rent at Kibamba, Dar Es Salaam


NYUMBA HII INAPANGISHWA ZIPO MBILI KWENYE FENCE - KIBAMBA KWA MANGI #250K
====
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko kubwa lenye makabati na public toilet
===
Bei: 250,000 Kwa mwezi x6 ( miezi haipungui)
===
Umbali dakika 15 Kwa mguu ( KM 1 bodaboda 1000)
===
Inajitegemea Kwa kila kitu ndani ya fence parking IPO
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
#0714335450