House for rent at Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #300k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa jiko na public toilet
Bei:300,000 Kwa mwezi × 3 ( Malipo miezi 3
Umbali km 1.4 Bajaji zipo inakuacha mlangoni LAMI HADI KWENYE NYUMBA
Apartments zipo 3 kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Ndani ya fence parking nikubwa
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37