House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
(200,000X6)KIBAMBA SHULE DK 20 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT MPYA NNE NDANI YA FENSI ZIPO
ZIMEBAKI NYUMBA MBILI TUU WAHI HAPA..
LOCATION:KIBAMBA SHULE UMBALI WA KM 1 TUU..NJIA MKEKA
SOMA KWA MAKINI HAPA...
Seble Kubwa
Chumba Master
Jiko kubwa
Kabati Chumbani
Public toilet Nje
Maji Ndani
Luku yako
Tiles
Gypsum
Electric fensi
Ndani ya fence zipo 4 Parking kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 200,000/=×6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2
Wafanyakazi wa MLOGANZILA,KIBAHA AU MBEZI HAPA KUNA WAFAAA NYUMBA KUBWA BARAAA
➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453