House for rent at Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #120k
===
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Jiko ndani
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Fence na parking
===
Kodi 120,000 Kwa mwezi × 3
===
Umbali KM 1.4 barabara ni Lami Bajaji zipo
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
_________________
0779646072
0784810004