House for rent at Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA IPO BARABARA SAFI BEI NI 200,000/= X 4
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU INAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
BEI NI 200,000/= X 4
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4
🏘️ APARTMENT HII IPO KIBAMBA HOSPITAL UPANDE KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 20 TUU KWA MIGUU AU KM 1
NB; KAMA UNAWATOTO WAKIUME NA WAKIKE KUNA CHUMBA CHA NJE NA CHOO CHAO KIPO MAJI NDANI KWAIVYO USIJALI NJOO
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
0655256419