House for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOM NA JIKO INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
chumba master bedroom kubwa na jiko
Bei:100,000 kwa mwezi x 6
Kila apartiment Inajitegemea umeme(Submeter wawili)na Maji Dawasco yanaflow chooni na jikoni
Ndani ya fence parking ipo kubwa
Umbali KM 1.3 Kutoka kituoni Usafiri bajaji zipo
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena simu 07 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37