House for rent at Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA NZURI SANA MAHALI ILIPO DARESALAAMTZ ENEO KIBAMBA CHAMA BARABARA YA KUELEKEA MLOGANZIRA KUTOKA BARBARA KUU YA MOROGORO ROAD NI KM 1 BODA ELFU MOJA 1000 BAJAJI MIATANO 500
YENYE
MASTA BEDROOM KUBWA SANA NA JIKO ZURI LA KISASA LENYE MAKABATI TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA PAVING BLOCKS GET
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI MOJA NA NUSU 150K
KODI ILIPWE MIEZI MITATU 3, 4, NAKUENDELEA
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA Dalali PINDI ULIPIAPO PANGO
SERVICE CHARGE NI TSHS ELFU 15
CONTACT
0742260844
0657384670