House for rent at Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE 350,000X6
===
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
==
Kodi 350,000 Kwa mwezi × 3
===
Umbali dakika 3 Tu Kwa mguu toka kituoni
===
Ndani ya fence parking kubwa, kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikoni
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 👈
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1
What saapp number ⬅️ 0689-547258