House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,500,000
Project
Yes

USIKUBALI KUKOSA NA HIVI. MRADI UPO KIGAMBONI KIMBIJI KIDAGAA Center. Ni Mita 200 tu Toka Barabara kubwa ya Kimbiji, pia ni jirani na kiwanda Cha Africab. Hivi viwanja Viko mjini Kabisa, unanunua na kujenga. Umbali wa Kutoka BAHARINI ni Km 1.5 0711677199/0744847199.

➡️Bei ni Milion 1.5 na Milion 1 Tu.
Vyote vina ukubwa sawa Futi 50 X 40. Utofauti wake, vya Milion 1.5 Viko juu na Milion 1 Viko chini Kidogo Mvua ikinyesha kubwa sana vina asili ya kukaa Maji.

⏭ Viwanja ni tambarare, ujenzi wake hausumbui kabisa, viko kwenye mpangilio mzuri wa barabara, Umeme upo, maji ya DAWASA, shule ya msingi na sekondari hapohapo, hospital ipo n.k

⏭ Unaweza kujenga nyumba ya kuishi, nyumba ya biashara kama kupangisha, maana mahitaji ni makubwa ya nyumba za kupanga mitaa hiyo, kwa sababu ya wingi wa wafanyakazi wa Viwandani.

⏭ Umbali kutoka Ferry ni km 33 , unapanda gari moja tu tokea Ferry, Kuona viwanja ni bure, na kila siku tunaonyesha wateja. Karibu sana kwa maelezo zaidi piga/whatsaap 0711677199/0744847199

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

HOUSE FOR SALE NYUMBA INAUZWA __INA VYUMBA V3 VYAKULALA VYOTE MASTER SITING DINING JIKO KUBWA PUBLI...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 7,650,000

Ruby city (Bohari Kigamboni)- Mita 150 kutoka barabara kuu f- Bei kwa sqm 20,000/= miezi 18 (17,000/...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto ...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

📍KIGAMBONI GEZA 🏠HOUSE FOR RENT🏠THREE BEDROOMS 💰PRICE 700,000/= TSH👉TEAMS OF PAYMENT SIX MONT...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,100,000,000

📍KIGAMBONI KIBADA 🏠HOUSE FOR SALE 💰PRICE 1.1B TSH👉SQM 1900📲CALL/WHTSP 📲+255714079500

House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto ...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

HOUSE FOR SALE /NYUMBAINAPANGISHWA KIGAMBONILOCATION: KIBUGUMO , KIGAMBONI*VYUMBA VITATU SEBULE DINI...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

🏡NYUMBA ZINAPANGISHWA📍Kigamboni-Darajani(Karibu na Barabara)💰700,000X6 Na mwezi mmoja wa dalaliDe...

5 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

##kigamboni #house for sale “”””””#kigamboni #house for sale:::::::.#kigamboni #house FOR SALE::::::...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 280,000,000

[House for sale) Location Bamba beach Kigamboni) Price milioni 280 tsh )

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 35,000,000

📍KIGAMBONI MIKWAMBE/HAMIDU CITY👉KIWANJA KINAUZWA👉UKUBWA SQM 1200💰BEI 35 MILION TSH👉KIMEPIMWA/...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 70,000,000

NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO BEI MIL 70

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 36,000,000

#HOUSE FOR SALE #NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI LOCATION; KISIWANI KIGAMBONI VYUMBA VINNEPlot size ; sqm 5...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Nyumba Zinapangishwa ni Mpyaa sifa zake ni Chumba master bedroom Sebule na dainngi jiko Kodi 300k kw...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 80,000,000

KIWANJA KIZURI KIGAMBONI SQM 700 UKUBWA WA KIWANJA. ENEO LINA NYUMBA NDANI YAKEBEI NI MILLION 80Tsh...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

Location; KIGAMBONI KIBADA 👉Plot size: SQM 850 Dimensions; mita 21 kwa mita 40👉Documents; CLEAN DO...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 280,000,000

Hiyo nyumba nauza ipo kigamboni geza ulole upande wa bamba beach meta 300 kutokabara ya rami hiyo n...

2 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 480,000,000

🏘️ Umewahi kufikiria kumiliki mradi wa apartment 14 Kigamboni?⚠️ Hii fursa haitaki kusimuliwa – ina...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

📌4-6-2025🔸NYUMBA INAPANGISHWA (APARTMENT)🔸LOCATION: Kigamboni Maweni 🔸Vyumba Viwili Kimoja Ni M...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

*Nyumba inauzwa Tuangoma, Kigamboni**Distance* Nyumba ipo mita 70 tu kutoka barabarani kubwa-Nyumba ...