House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,500,000
Project
Yes

OFA YETU BADO INAENDELEA : Viwanja vinapatikana KIGAMBONI KIMBIJI KIDAGAA Center. Ni Mita 200 tu Toka Barabara kubwa ya Kimbiji, pia ni jirani na kiwanda Cha Africab. Hivi viwanja Viko mjini Kabisa, unanunua na kujenga. Umbali wa Kutoka BAHARINI ni Km 1.5 0711677199/0744847199.

➡️Bei ni Milion 1.5 (Kimebaki kimoja) na Milion 1 Tu.
Vyote vina ukubwa sawa Futi 50 X 40. Utofauti wake, vya Milion 1.5 Viko juu na Milion 1 Viko chini Kidogo Mvua ikinyesha kubwa sana vina asili ya kukaa Maji.

⏭ Viwanja ni tambarare, ujenzi wake hausumbui kabisa, viko kwenye mpangilio mzuri wa barabara, Umeme upo, maji ya DAWASA, shule ya msingi na sekondari hapohapo, hospital ipo n.k

⏭ Unaweza kujenga nyumba ya kuishi, nyumba ya biashara kama kupangisha, maana mahitaji ni makubwa ya nyumba za kupanga mitaa hiyo, kwa sababu ya wingi wa wafanyakazi wa Viwandani.

⏭ Umbali kutoka Ferry ni km 33 , unapanda gari moja tu tokea Ferry, Kuona viwanja ni bure, na kila siku tunaonyesha wateja. Karibu sana kwa maelezo zaidi piga/whatsaap 0711677199/0744847199

Pesambili Properties Limited
pesambili_properties_ltd
Pesambili Properties Limited

Similar items by location

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

MRADI MPYA KIGAMBONI KIMBIJI PUNA🔥🔥👉🏾UMBALI 30KM TOKA FERRY 👉🏾VIWANJA VIMEPIMWA/SURVEY APPROV...

Sh. 80,000

Tunauza viwanja kigamboni Geza juu BeachUmbali kutoka ferry ni km15 na umbali kutoka lami hadi site ...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

#Repost dalali_hans_kigamboniGOROFA INAUZWA KIGAMBONILOCATION DEGE MAGOROFANIVYUMBA VITATU SEBULE JI...

5 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

House 🏠 for saleLocation kigamboni TwangomaNyumba inavyumba 5 vya kulala Vyote Mastar,sitting, dain...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Chumba master bedroom Sebule jiko Kodi 150k kwa mwezi Zipo kigambo...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Vyumba 2 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule jiko Ko...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Vyumba 2 vya kulala vyumba Vyote ni master bedroom Sebule jiko n K...

House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000,000

NYUMBA YA GHOROFA INA PANGISHWA KIGAMBONI KIBADA CHEKECHEA ML 200.0000 KWA MWEZI KODI YA MWAKA NYUMB...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 380,000,000

PLOT YA BARBARANI INAUZWA KIGAMBONI bei milioni 3800767672719📱0713672719Plot ipo kibada Ina ukubwa ...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 58,000,000

NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA – KIGAMBONI UNGINDONI! Usikose tena kama ulivyokosa ya kwanza – safari...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

#Repost dalali_hans_kigamboni#Repost dalali_hans_kigamboni#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_k...

Sh. 600,000

#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_kigamboniHOUSE FOR RENT || NYUMBA YA KUKODI *slide kushoto ...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 70,000,000

NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI DRGE MAGOROFANI SWMT 600 BEI TSH/70 MILLION (0787-717683)

5 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 370,000,000

GHOROFA INAUZWA KIGAMBONI TOANGOMA NYUMBA YA VYUMBA 5 VYAKULALA VYUMBA VYOTE NI MASTERS BEDROOM INA ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

#Repost dalali_hans_kigamboni#Repost dalali_hans_kigamboni#Repost dalali_hans_kigambonidalali_Hans_k...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

🏡NYUMBA INAPANGISHWA📍Kigamboni-Darajani(BARABARANI)💰300,000X6 Na mwezi mmoja wa dalali•Ina Vyumba...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Nyumba Zinapangishwa sifa zake ni Vyumba 2 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule jiko Ko...