House for rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


💠APARTMENT ZINAPANGISHWA MZUR SAN MABOSS WANG 
💠HAPO KILA MOJA INAJITEGEMEYA KILA KITU UMEME NA MAJI 
💠NYUMBA INA VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER SEBURE DANING NA JIKO LAKE KWA 400K TU 
💠IPO USHUWANI KABISA AKUNA KELELE ULIZI WA KUTOSHA BOSS WANG UNASBR NN NJOO ULIPIE 
💠KODI 400K KUAZIA MIEZI 6 NAKUENDELEA BOSS WNG 
💠NYUMBA IPO KIGAMBONI GEZA ULOLE PIGA SIMU KWA 
☎️0750 886 103 SURVEY 30K MALIPO YA DALALI CHAPAPA 400K




















