House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa kigamboni mtaa wa feri km 1.5 Toka kivukoni.
Sifa ya nyumba Ina vyumba 22 vyote vina wapangaji wanalipa elfu 60 kwa mwezi inatazama barabarani ya mtaa Ina Nafasi ya kujenga flemu tatu
Unaweza ukafanya Hostel,ukajenga Apartment,Guest House
Kiwanja sqm 780
Documents Hati ya leseni ya Makazi
Bei million 130.maongezi kidogo.