House for rent at Kihonda, Morogoro


APARTMENT FOR RENT
* Chumba master
* Sebure
* Jiko kubwa
* Umeme anajitegemea
* Maji 24 hrs
* Zipo mbili tu ndani ya fance
* Mtu bado hajaama na itakua wazi january 2024
* Luksa kwa booking / payment
* Nyumba ipo kihonda barabara mpya /Dodoma road ndani ya manispaa ya morogoro mjini,
* Ni kilometers 2 mpaka msamvu bus terminal na mita 50 kutoka kituo cha daladala
* Price/Bei ; 180,000/=Tsh per month
terms of payment ( Γ 6 )
* Picha za ndani ni baada ya mtu aliekuwepo kuhama
* Call / WhatsApp 0657 653005 by ndulebroker
NB ; Service charge 15000/= Tsh