House for rent at Kijitonyama, Dar Es Salaam


Master bedroom na Sebule 230k🏠
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Kijitonyama📍
• Chumba Kimoja Master bedroom
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Fenced ila No parking
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 230k✅
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6)
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0744701813 Normal/Whatsapp📲