House for Rent at Kijitonyama, Dar Es Salaam


Apartment ya Master Bedroom, Sebule na Jiko - 600,000 TZS/Mwezi, Kijitonyama
Maelezo ya Nyumba:
• Chumba master bedroom
• Sebule kubwa
• Jiko zuri
• Parking kubwa
• Ulinzi wa saa 24/7
• Umeme na maji unajitegemea
• Nyumba ipo karibu na barabara
Bei: 600,000 TZS kwa mwezi
Mahali: Kijitonyama
Masharti ya Malipo: Malipo ya miezi 6
Ada ya Amana ya Usalama: Kodi ya mwezi mmoja
Service Charge: 20,000 TZS
Ada ya Dalali: Kodi ya mwezi mmoja
Imebaki moja tu📌
Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali piga simu au WhatsApp: +255692932076